WAZIRI MCHENGERWA ATOA MWEZI MMOJA UKAMILISHAJI WA KITUO CHA AFYA RUAHA.
ULANGA Waziri wa Nchi, @ortamisemitz Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa mwezi mmoja kwa uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga kukamilisha ujenzi wa Kituo cha Afya cha Ruaha baada ya ujenzi wa kituo hicho kutokamilika kwa wakati. Mhe. Mchengerwa ametoa agiza hilo Mei 22, 2024 baada ya kuanza ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri…