Kivule walia barabara kujengwa kwa vifusi vya udongo badala ya changarawe
WANANCHI wa Kata ya Kivule Mtaa wa Magole A, jijini Dar es Salaam, wameonesha kutoridhishwa na hatua ya barabara ya Nyang’andu kujengwa kwa kiwango cha udongo badala ya changarawe ili iweze kutumika katika nyakati zote. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Malalamiko hayo yameibuliwa leo tarehe 23 Mei 2024, siku chache baada ya barabara hiyo…