MAENDELEO BANK PLC YAZINDUA TAWI JIPYA MBAGALA ZAKHIEM
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila leo Mei 22,2024 amefungua rasmi tawi jipya la Benki ya Maendeleo Mbagala Zakhiem Wilaya ya Temeke Jijini humo. Akiongea wakati wa hafla ya ufunguzi wa Benki hiyo ameipongeza menegimenti ya Maendeleo Benki kwa uwekezaji mkubwa na namna walivyojipanga kutoa huduma bora za kibenk katika Mkoa…