Rais Samia kuongoza mkutano Baraza la Amani na Usalama Afrika
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Tanzania imetajwa kuwa kitovu cha harakati za ukombozi barani Afrika katika masula ya amani, ulinzi na usalama. Pia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mwenyekiti wa maadhimisho ya miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika litakalofanyika Mei 25, 2024 jijini Dar es Salaam. Waziri…