Watu 85 wafariki katika hospitali ya El-Fasher – DW – 22.05.2024
Shirika la Madaktari wasio na mipaka la MSF limesema takriban watu 85 wamefariki katika hospitali moja kwenye mji wa El-Fasher huko Darfur tangu mapigano yalipozuka kati ya pande zinazozozana nchini Sudan Mei 10. Mkuu wa mpango wa dharura wa shirika hilo Claire Nicolet, alisema majeruhi tisa kati ya 60 waliopokelewa katika Hospitali pekee iliyosalia mjini…