Admin

Majadiliano DPP, bosi Jatu hayajakamilika

Dar es Salaam. Serikali imesema inaendelea na majadiliano ya maridhiano ya kukiri kosa katika kesi inayomkabili Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya. Gasaya (33), anakabiliwa na makosa mawili katika kesi ya uhujumu uchumi, akidaiwa kujipatia Sh5.1 bilioni kwa njia ya udanganyifu. Anadaiwa kujipatia fedha hizo kutoka Saccos ya Jatu kwa madai kuwa…

Read More

Serikali yanawa mikono fidia Kimara-Kibamba

SERIKALI imewataka waathiriwa wa bomoabomoa ya upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara – Kibamba uliofanyika mwaka 2017/2018, kuelewa kwamba Serikali ilitumia sheria ya barabara ya mwaka 1932 na hakuna fidia itakayoweza kulipwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Imesema kulingana na Sheria hiyo Na. 40 ya mwaka 1932, hifadhi ya barabara zinazosimamiwa na Wakala wa…

Read More

Waombolezaji watoa heshima za mwisho – DW – 21.05.2024

Raia hao mamia kwa maelfu waliobeba bendera za taifa hilo na picha za Ebrahim Raisi wameshuhudiwa katika uwanja wa Central square mjini Tabriz wakitembea kando ya gari lililobeba majeneza ya Raisi na maafisa wengine saba. Mji huo ndiko alikokuwa akielekea kiongozi huyo na ujumbe wake wakati helikopta waliyokuwa wakisafiria ilipopata ajali Jumapili. Mwili wa Raisi…

Read More

Viwanja vipya vya Afcon kukamilika mwakani

Dodoma. Serikali imesema ujenzi wa viwanja vipya vya michezo kwa ajili ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027), unatarajiwa kukamilika mwakani ili kupisha ukaguzi wa kikanuni. Tanzania, Kenya na Uganda zitaandaa fainali za Kombe la Mataifa Afrika mwaka 2027 ikiwa ni mara ya kwanza nchi hizo zinafanya hivyo. Hayo yamesemwa leo na…

Read More

Safari ya Serikali kuhamia Dodoma kukamilika mwakani

Dodoma. Safari ya Serikali kuhamia jijini hapa  itakamilika  baada ya mpango kazi maalumu na ujenzi wa awamu ya pili wa majengo ya ofisi za wizara na taasisi utakapohitimishwa mwaka 2025. Aidha, Serikali imesema hadi sasa watumishi wa umma 25,039 wameshahamia huku taasisi zilizohamia zikiwa ni 65.Naibu Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu Bunge,…

Read More

Tabora, Ihefu mechi ya matumaini

LEO Jumatano katika Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi, Tabora kutapigwa mechi ya kibabe kati ya wenyeji Tabora United na Ihefu ambayo imebeba matumaini makubwa ya timu hizo mbili kwa msimu huu. Mchezo huo ni wa Ligi Kuu Bara mzunguko wa 28 kwa kila timu na matokeo yoyote yatakayopatikana yatabadili mambo mengi hususan kwenye nafasi ambazo…

Read More

Frateri wa Kanisa Katoliki Tanga adaiwa kujinyonga

Lushoto. Frateri wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimboni Tanga, Rogassion Hugho, anadaiwa kujinyonga hadi kufa. Hili ni tukio la pili  kwa viongozi wa dini kudaiwa kujinyonga. Mei 16, 2024 mkoani Dodoma, Askofu Mkuu wa Makanisa ya Methodist, Joseph Bundala naye alidaiwa kujinyonga ndani ya ofisi yake iliyopo katika kanisa hilo eneo la Meriwa…

Read More

Dodoma Jiji, Yanga vita iko hapa, Arajiga kati

KWA mashabiki wa Dodoma Jiji wanajiuliza kwanini timu hiyo kwanini haijafunga bao katika mechi nne mfululizo za Ligi Kuu Bara zilizopita wakati kesho itakapoikaribisha Yanga saa 10:00 jioni, Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Swali hilo linatokana na safu butu ya ushambuliaji inayoikumba timu hiyo ambapo katika michezo minne imeshindwa kabisa kufunga bao lolote tangu mara yake…

Read More