Admin

Rais wa Kenya ziarani siku 4 nchini Marekani

Rais wa Kenya William Ruto na Mke wa Rais Rachel Ruto waliwasili Atlanta, Georgia, Marekani siku ya Jumatatu (Mei. 20) kabla ya ziara ya kiserikali mjini Washington. Ziara ya Atlanta ni sehemu ya kwanza ya ushirikiano wa kidiplomasia wa Kenya na Marekani. Rais Ruto alitoa hotuba kuhusu utawala na maadili ya kidemokrasia katika Maktaba ya…

Read More

NMB yapata idhini kuwa wakala wa madalali wa DSE

Benki ya NMB imepata idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Mamlaka ya Soko la Mitaji na Dhamana (CSMA) kuwa wakala wa madalali wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE). Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Kupitia idhini hiyo wananchi sasa wataweza kuuza na kununua hisa na hatifungani kupitia mtandao mpana wa matawi 231 wa…

Read More

TBS YASHIRIKI MAONESHO YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA DODOMA

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeshiriki katika maonesho ya wizara ya viwanda na Biashara katika viwanja vya Bunge yanayoendelea jijini Dodoma. Wakiongea na maafisa wa TBS baadhi ya waheshimiwa wabunge waliotembelea banda la TBS wameipongeza TBS kwa kazi nzuri wanayofanya ya kuhakikisha usalama na ubora wa bidhaa unazingatiwa ili kumlinda mlaji wa mwisho. Mkurugenzi Mkuu…

Read More

Tanzanite! Viwanja vitatu kupewa fainali FA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) liko mbioni kubatilisha uamuzi wa fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) kuchezwa katika Uwanja wa Tanzanite uliopo Babati, Manyara mapema mwezi ujao huku viwanja vitatu vikitajwa kupewa nafasi kubwa kuchukua fursa hiyo. Viwanja vitatu vinavyopewa nafasi kubwa kuchukua fursa ambayo Uwanja wa Tanzanite, Babati inaelekea kuikosa ni Benjamin…

Read More

Dk Nchimbi awataka maofisa utumishi kuacha uonevu, uungu mtu

Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel Nchimbi, amewataka watumishi wanaosimamia utawala na rasilimali watu sehemu za kazi kuwatendea haki wafanyakazi wote kwa kujiepusha na vitendo vyovyote vya uonevu. Akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya wataalam wa rasilimali watu na utawala duniani, jana Jumatatu, Mei 20, 2024, ambayo kitaifa imefanyika…

Read More

Dakika za mwisho hekaheka kuzama meli ya MV Bukoba

Mwanza. Mei 21, 1996 ni siku ambayo dunia iliamshwa na habari mbaya na za kushtua za kuzama kwa meli ya MV Bukoba, ikiwa karibu kuingia ghuba ya Mwanza katika Ziwa Victoria, lakini je, unafahamu nini kilitokea muda mfupi kabla ya meli hiyo kuzama? Meli hiyo iliyokuwa ikiendeshwa na Kepteni Jumanne Mwiru ilikuwa ikitokea Bukoka kwenda…

Read More