AAFP itakavyoimarisha utii wa Katiba, utawala bora
Moshi. Katika eneo ambalo limekuwa na mijadala kupitia vyombo vya asili vya habari na mitandao ya kijamii ni suala la utawala bora na utii wa Katiba na kwa kutambua hilo, Chama cha Wakulima (AAFP), kimeliingiza suala hilo katika ilani yake ili kulipatia mwarobaini. Katika nchi zinazofuata misingi ya utawala bora, Katiba ndiyo mamlaka ya juu…