SHAHIDI ADAI RAIS RAISI NA UJUMBE ALIOFUATANA NAO WAMEPOTEZA MAISHA
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi, Ayatullah Khamenei (kushoto) akiamkiana na Shahidi Seyyid Ebrahim Raisi Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Seyed Ebrahim Raisi na viongozi kadhaa aliofuatana nao wamekufa shahidi katika ajali ya helikopta iliyotokea katika eneo la Varzghan mkoani Azerbaijan Mashariki wakiwa katika kazi ya kuwahudumia na kuwatumikia wananchi. Kwa mujibu wa Shirika la…