Maokoto ya gofu hadi mazoezini
KWENYE gofu kuna maokoto ya hapa na pale na yamekuwa yakiwasaidia vijana kupunguza makali ya maisha, pia yanaongeza chachu ya nidhamu ya kazi na kujituma ili kuhakikisha viwango vyao vinakua. Mzuka wa gofu kwenye Gazeti la Mwanaspoti, linafichua jinsi mazoezi ya gofu yanavyoweza kumfanya mchezaji akaondoka na kibunda cha maana cha pesa, pia yanavyojenga afya…