KILELE CHA MAONESHO YA SIKU YA NYUKI DUNIANI MAY 20,2024. KUFANYIKA JIJINI DODOMA.
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amesema kuwa Mkoa wa Dodoma una zaidi ya Mizinga ya nyuki 18,000 yenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya kilo 135,000 za asali ambapo kiwango hicho bado ni kidogo ukilinganisha na fursa za ufugaji nyuki zilizopo katila mkoa huu ambapo zaidi ya hekta 1,938,193.za…