Simba pamoto! Maema, Ahoua ngoma nzito
KIUNGO mpya wa Simba, Neo Maema wala hajataka kuchelewa kazini kwake, yaani ametambulishwa juzi, na jana tu tayari ameanza kazi rasmi ndani ya familia ya Wekundu hao, lakini kama ulikuwa una shaka naye soma hapa alichosema kocha raia wa Tunisia anayemfahamu. …