Admin

Frank Komba na rekodi ya miaka kumi beji ya Fifa

Jina la Frank Komba sio geni na linafahamika sana na wadau wa mpira wa miguu kutokana na kile ambacho amekuwa akiufanyia mchezo huo. Huyu ni mwamuzi msaidizi wa kimataifa wa Tanzania ambaye pia ni mtumishi wa Jeshi la Polisi huku pia akiwa Wakili kitaaluma. Mwanzoni mwa mwaka huu, Komba aliandika rekodi moja ya kibabe ambayo…

Read More

Bajana, Malckou wafanyiwa upasuaji, kukaa nje miezi minne

Klabu ya Azam FC imethibitisha kuwa itawakosa nyota wa kiungo mkabaji, Sospeter Bajana na beki wa kati, Malickou Ndoye kwa miezi minne baada ya kufanyiwa upasuaji wa majeraha yaliyokuwa yakiwasumbua. Nyota hao wamefanyiwa upasuaji wa maungio ya mifupa ya nyonga ya kulia na kushoto (pubis symphysis), uliofanyika nchini Afrika Kusini katika Hospitali ya Life Vincent…

Read More

Wagombea Chadema waanza kusaka kura

Dar es Salaam. Siku moja baada Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuteua majina ya watakaowania uongozi katika kanda nne kwenye uchaguzi utakaofanyika Mei 29, 2024 baadhi ya wagombea wamefunguka walivyojipanga kusaka kura, huku wengine wakianza kampeni kupitia mitandao ya kijamii. Jana Ijumaa Mei 17, 2024 Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo…

Read More

MAHAKAMA YA RUFAA YAFUTA HUKUMU YA MIKOPO CHECHEFU

  Na Mwandishi Wetu MAHAKAMA ya Rufaa imetengua hukumu iliyotolewa na Mahakama kuu divisheni ya biashara katika moja ya kesi maarufu za mikopo chechefu baina ya kampuni ya State Oil dhidi ya Benki ya Equity kesi ambayo Mahakama Kuu hiyo chini ya Jaji Magoiga iliipa ushindi kampuni ya husika ambayo ilikopa dola milioni 18 (zaidi…

Read More