Maneno ya Diarra kwa Matampi kuhusu kipa bora, afunguka kutua Msimbazi
NYOTA wa Yanga, Djigui Diarra amempongeza kipa mwenzake wa Coastal Union Mkongomani Ley Matampi kutokana na ushindani anaompa katika Ligi Kuu Bara. Kauli ya Diarra inakuja kutokana na kushindania tuzo ya kipa bora na Matampi, ambapo hadi sasa katika Ligi Kuu Bara ndio makipa wanaoonekana kujiweka kwenye nafasi nzuri wakiwa wote na ‘clean sheets’ 13…