Matumizi ya nishati chafu yanauwa Watanzania 32,000 kila mwaka
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Dk. Seleman Jafo amesema takwimu zinaonesha takribani ya Watanzania 32,000 kila mwaka wanapoteza maisha kwa sababu hawatumii nishati safi. Akizungumza leo Mei 17, 2024 na Waandishi wa Habari Ikulu jijini Dar es Salaam kuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Nishati…