LALJI FOUNDATION YAWAKUMBUKA WAHITAJI WA MIGUU BANDIA HOSPITALI YA CCBRT
TAASISI isiyo ya kiserikali ya LALJI FOUNDATION imetoa msaada wa viungo bandia kwa wagonjwa 11 katika hospitali CCBRT Dar es es salaam ikiwa ni sehemu ya malengo ya taasisi hiyo kuendelea kugusa makundi mbalimbali yenye uhitaji katika jamii. Akizungumza kwa niaba ya uongozi wa taasisi ya LALJI FOUNDATION Katibu wa taasisi hiyo ndugu Fatema Lalji…