Total Energies yawekeza bilioni 17 kusambaza gesi ya kupikia
ILI kurahisisha upatikanaji wa gesi ya kupikia kwa gharama nafuu kwa Watanzania, Kampuni ya Total Energies Tanzania imewekeza kiasi cha dola za Marekani milioni saba (Sh 17 bilioni) katika kusambaza nishati hiyo safi ya kupikia kwenye maeneo mbalimbali ya nchi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hayo yamebainishwa leo Ijumaa na Mkurugenzi wa Sheria, Uhusiano na…