Uingereza yamwaga bil. 9 kumuunga mkono Samia matumizi nishati
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amesema jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan katika kubeba ajenda ya nishati safi ya kupikia, zimeendelea kuzaa matunda baada ya Serikali ya Uingereza kuthibitisha kuipatia Tanzania dola za Marekani milioni 1.8 (Sh 8.8 bilioni) ili kutimiza malengo ya ajenda hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu ……