DAWASA yamaliza kero ya maji Nyakahamba iliyodumu kwa miaka 5
Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha utekelezaji wa mradi wa kuongeza msukumo wa maji kwenye kitongoji cha Nyakahamba Kata ya Kerege Wilaya ya Bagamoyo na kuwezesha upatikanaji wa huduma kwa wakazi takribani 250. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumzia utekelezaji wa mradi huo, Meneja wa Mkoa wa DAWASA…