SERIKALI YAONGEZA VITUO SAIDIZI NA UNASIHI KWA WARAIBU HADI KUFIKIA 16
Na Gideon Gregory, Dodoma.Serikali imeendelea kuboresha huduma za tiba kwa watu wenye uraibu wa dawa za kulevya ili kupunguza madhara yanayotokana na matumizi ya dawa hizo ambapo hadi kufikia Mwezi Desemba 2023, ilikuwa na vituo 16 vya tiba saidizi na unasihi kwa waraibu wa dawa za kulevya (MAT Clinics). Hayo yameelezwa leo Mei 16,2024 Jijini…