NEMC YATOA SIKU 90 KWA WENYE VITUO VYA AFYA NA HOSPITALI KUWEKA MIUNDOMBINU SAHIHI YA KUTEKETEZA TAKA
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limetoa siku 90 kwa taasisi zote zinazojishughulisha na utoaji wa huduma za afya nchini kuweka miundombinu sahihi ya kuteketeza taka zinazotokana na huduma za afya au kuwapa wakandarasi waliothibitishwa na sheria ili kuepuka kuhatarisha afya na mazingira kwa ujumla. Baada…