Peneza arusha kombora Chadema, wenyewe wajibu
Dar es Salaam. Aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalumu wa Chadema, Upendo Peneza amekishutumu chama chake cha zamani, akidai kilikuwa kikiwachangisha fedha wabunge, lakini matumizi yake hayakuwahi kuwekwa wazi. Peneza ambaye Januari 22 mwaka huu alijiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) aliyesema hayo jana katika mahojiano maalumu na Radio ya Clouds FM. Alisema Chadema imekuwa…