Kukamilika kwa mradi mkubwa wa maji kuondoa adha kwa wakazi laki 450 Butimba
Kukamilika kwa mradi mkubwa wa maji uliyopo Butimba Jijini Mwanza unakwenda kuondoa adha ya upatikani wa maji kwa kwa wakazi takrabani 450,000 katika wilaya za Nyamagana na Ilemela Jijini Mwanza. Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mkoa wa Mwanza MWAUWASA, Neli Msuya ameeleza kuwa mradi wa maji wa Butimba umekamilika…