Rais wa Urusi afanya ziara nchini China – DW – 16.05.2024
Wakati wa ziara ya Putin nchini China, Xi amemuhakikishia kiongozi huyo wa Urusi kuhusu ushirikiano wa karibu. Vyombo vya habari nchiniChina, vimeripoti kuwa Xi amemwambia Putin kwamba kuimarika kwa uhusiano kati ya mataifa hayo mawili kunachangia katika amani, utulivu na ustawi wa kanda hiyo pamoja na ulimwengu kwa ujumla. Xi asema mahusiano kati ya China…