VIDEO: Baba adaiwa kuua mwanae kwa kipigo, kisa kajisaidia na kujipaka kinyesi mwilini
Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Malya Tarafa ya Ibindo wilayani Kwimba mkoani humo, Fabian Pauline (32) kwa tuhuma za kumuua mtoto wake, Alvin Fabian (3) kwa kipigo. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa, mtuhumiwa alitekeleza tukio hilo Mei 9 mwaka huu baada ya…