Admin

WAZAZI LINDI WAPEWA SALAMU KUEPUKA MIGOGORO INAYOATHIRI MALEZI YA WATOTO NDANI YA FAMILIA

Na,Elizaberth Msagula,Lindi Jamii  Mkoani Lindi wametakiwa kuitumia vyema mifumo iliyowekwa na Serikali katika kushughulikia migogoro na tofauti zinazojitokeza na kushindikana kwenye familia ambayo kwa kiasi kikubwa inatajwa kuchangia wazazi kuachana na kusababisha watoto kuathiriwa na hivyo kukosa malezi imara. Mifumo hiyo ni pamoja na madawati ya jinsia na Ofisi  za ustawi wa jamii zilizopo kwenye…

Read More

VIJIJI 60 NKASI KUNUFAIKA NA MRADI WA LTIP

Na. Magreth Lyimo, MLHHSD Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) imeendelea kuhakikisha inaongeza thamani katika ardhi za Watanzania ambapo katika Wilaya ya Nkasi, Mkoani Rukwa takribani vijiji 60 vitanufaika na mradi huo kwa kupangiwa matumizi ya ardhi ambapo mpaka sasa vijiji 45 matumizi…

Read More