Gamondi: Nyie subirini, bado moja
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema walistahili kutwaa taji la Ligi Kuu, huku akisisitiza kwamba kituo kinachofuata ni Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC). Yanga wametwaa ubingwa wakiwa na mechi tatu mkononi baada ya kufikisha pointi 71 ambazo washindani wake Azam FC na Simba hata wakishinda mechi zao zote zilizobaki hawawezi kufikia. Akizungumza na Mwanaspoti,…