Gamondi apiga marufuku shamrashamra kambini
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi amecharuka na kupiga marufuku shamshamra za ubingwa huku akitoa masharti mapya ya kufuatwa ili kufikia malengo ya klabu. Gamondi amewasisitiza mastaa na viongozi wasahau kabisa kwamba wameshatwaa taji hilo la tatu mfululizo kwani wakizembea kidogo wanatoka kwenye mstari na watatoa faida kwa wengine. Yanga ilibeba ubingwa baada ya kuifunga Mtibwa…