Israel yafanya Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa – DW – 13.05.2024
Sherehe hizo ambazo kawaida hufanyika kwa hamasa ya hali ya juu, mara hii zilitawaliwa na huzuni na hasira juu ya kile wakosoaji wa utawala wa Netanyahu wanachosema ni kushindwa kwake kuzuwia uvamizi wa Oktoba 7, ambapo wapiganaji wa Hamas kutoka Ukanda wa Gaza walivunja seng’enge na kuingia kusini mwa Israel walikosababisha vifo vya watu wapatao…