Serikali kuunda kamati maalum kushughulikia hoja za CAG kila mwaka -DK.Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itafanyia kazi changamoto zote zilizojitokeza katika ripoti ya CAG na kuunda kamati maalum itakayoshughulikia kasoro za kiutendaji zinazotokana na hoja za CAG kila mwaka. Amemtaka Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Mhandisi Zena Ahmed Said kuunda kamati hiyo….