Admin

RAIS WA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA UJUMBE WA WABUNGE WA KOREA KUSINI IKULU ZANZIBAR LEO MAI 11, 2024.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Wabunge kutoka Nchini Korea Kusini, ukiongozwa na Mhe. Sul Hoon (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-5-2024.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali…

Read More

Serikali itaendelea kushirikiana na Red Cross

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akiwapokea vijana 10 walioendesha baiskeli kutoka Moshi, Kilimanjaro hadi Dodoma ikiwa ni moja ya njia za kukitangaza Chama cha…

Read More

Ukweli kuhusu ‘ardhi inayotembea’ Muleba, athari zake kwa wananchi

Muleba. Wakati mvua katika maeneo mbalimbali nchini zikisababisha mafuriko, baadhi ya maeneo yameshuhudia maporomoko ya tope linalotembea kama maji, jambo ambalo limewastaabisha watu ambao hawakuwahi kushuhudia jambo hilo. Hicho ndiyo kinachotokea katika Kitongoji cha Kabumbilo kilichopo katika Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, ambapo tope linalotembea kuelekea mwambao wa Ziwa Victoria, limeibua gumzo mitandaoni huku watu…

Read More

Heineken Tanzania Yashirikiana na Lead Foundation ya Kupambana na Mabadiliko ya Tabianchi na Kurejesha Misitu

 Katika kukabiliana na ongezeko la athari za mabadiliko ya tabianchi na uharibifu wa mazingira, kampuni ya Heineken Tanzania imeanzisha ushirikiano wa kimkakati na shirika la mazingira la Lead Foundation. Lengo la ushirikiano huu ni kufanya mipango endelevu ya kurejesha misitu iliyoharibiwa na kulinda mazingira yetu. Meneja wa Kampuni ya Heineken Tanzania, Obabiyi Fagade akizungumza na…

Read More

Sikia alichosema beki mpya Yanga, awataja Bacca, Azizi KI

WAKATI Yanga ikiwa katika hatua za mwisho za kukamilisha mazungumzo kwa ajili ya kumsajili beki wa FC Lupopo, Chadrack Boka anayetakiwa kuja kuziba nafasi ya Lomalisa Mutambala, mwenyewe amefunguka kwamba: “Najua mashabiki wanachotaka, waambie wasubiri nakuja kuwafurahisha kwa kuipa timu kazi nzuri.” Boka ambaye ni mrefu kwa umbo, amefichua kwamba anasubiri uhamisho huo ukamilike haraka…

Read More

ZRA yataja imani za dini kikwazo ulipaji wa kodi

Unguja. Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) imesema licha ya jitihada kubwa inazofanya na kuboresha mifumo ya ulipaji kodi bado upo chini ya asilimia 98. Pamoja na mambo mengine, ulipaji kodi wa hiari unakumbana na vikwazo ikiwamo imani ya dini kwamba kulipa kodi si sawa kwa sababu wanalipa zaka, hivyo kuwaomba wajumbe wa Baraza la Wawakilishi…

Read More

Wydad yamganda Lakred, ishu nzima ipo hivi

TIMU ya Wydad Casablanca imeonyesha nia ya kumsajili kipa wa Simba, Ayoub Lakred kwa ajili ya msimu ujao. Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo zimeliambia Mwanaspoti kwamba nyota huyo raia wa Morocco anataka kuondoka msimu ukiisha baada ya mkataba wake wa mwaka mmoja kumalizika jambo linalowatia wasiwasi mabosi wa Simba wanaomtaka abaki. Lakred aliyejiunga na…

Read More

Jinsi Maisha yalivyo mchana, usiku Stendi ya Magufuli

Dar es Salaam. Ukiweka kando usafiri unaounganisha maeneo ya ndani na nje ya nchi, Stendi ya Magufuli ni sehemu ambayo wasafiri na wakazi wengine wa Jiji la Dar es Salaam wanaweza kununua bidhaa za mahitaji mbalimbali.  Stendi hiyo iliyogharimu Sh50.9 bilioni, iliyopo Mbezi Luis, Wilaya ya Ubungo, ilizinduliwa Februari 22, 2021 na hayati Rais John…

Read More