MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KITUO CHA POLISI DARAJA A MTUMBA DODOMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Polisi Daraja “A” Wilaya ya Kipolisi Mtumba mkoani Dodoma tarehe 11 Mei 2024. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa hafla ya kufungua Kituo cha Polisi Daraja “A” Wilaya…