ASKOFU MKUU WA KANISA ANGLIKANA CANTERBURY JUSTIN WELBY AWASILI ZANZIBAR
Kushoto ni Askofu Mkuu wa Canterbury Justin Welby pamoja na Askofu Mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania Maimbo Mndolwa. *Atembelea maeneo yaliyoendesha biashara ya watumwa. Na Maiko Luoga Zanzibar. ASKOFU Mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania na Dayosisi ya Tanga Maimbo Mndolwa mei 10, 2024 aliongoza jopo la Maaskofu na waumini wa Dayosisi ya Zanzibar, kumpokea Askofu…