Admin

Staa Asec aomba kusepa, atajwa kutua Simba

KIUNGO mshambuliaji wa Asec Mimosas, Serge Pokou ameomba rasmi kuondoka klabuni hapo huku akihusishwa na Simba inayoelezwa inampigia hesabu kali. Fundi huyo wa mguu wa kushoto ambaye aliwahi kuifunga Simba hapa nchini wakati timu hizo zilipokutana Ligi ya Mabingwa alisema ingawa ana ofa nyingi lakini amevutiwa na ofa ya Tanzania. “Nina ofa nyingi ikiwemo moja…

Read More

Dreamliner ATCL yafumuliwa injini Malaysia

Dar es Salaam. Ndege ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL), Boeing Dreamliner ipo kwenye matengenezo makubwa ya lazima katika mji wa Kuala Lumpur, nchini Malaysia, Mwananchi limebaini. ATCL imekiri kuwa ndege hiyo yenye namba za usajili 5H-TCJ ipo kwenye matengenezo hayo tangu Novemba 2023 na inatarajiwa kukamilika Juni, 2024. Hii ni ndege ya pili…

Read More

RC MALIMA, MOROGORO KUWA KITOVU CHA UTALII

Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malima amewataka wanahabari kuwa mabalozi wa utalii, kuandika taarifa zinazowavutia watalii kutoka nje na ndani ya nchi. RC Malima ameyasema hayo wakati akifungua Mafunzo kwa wanahabari yaliyoandaliwa na Chama Cha Waandishi wa habari Tanzania (TAMPA) kwa kushirikiana na TANAPA ambapo amesema Mkoa wa Morogoro unahifadhi Tatu Kubwa ambazo ni Mikumi,Udzungwa…

Read More

Sakata mtuhumiwa kupigwa risasi lachukua sura mpya

Dar es Salaam. Wiki moja baada ya Mwananchi kuripoti tuhuma za ofisa wa Polisi kudaiwa kumpiga risasi Ronald Mbaga wakati akimhoji kwa tuhuma za kuiba bastola ya mfanyabiashara, mfanyabiashara huyo naye amelalamika kutotendewa haki na Polisi. Ilidaiwa kuwa ofisa huyo wa polisi (jina limehifadhiwa) alimpiga risasi Mbaga akiwa anamhoji nyumbani kwake, lakini madai hayo yamekanushwa…

Read More