ZFDA YASITISHA MATUMIZI NA KUONDOSHA SOKONI MAZIWA AINA YA INFACARE 1,2 NA 3
Na Fauzi Mussa , Maelezo. Mei 10,2024 Wakala wa Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar ZFDA imepiga marufuku uingizwaji,uuzwaji, na usamabazaji wa maziwa ya kopo aina ya INFACARE kutokana na kuwepo maandishi yanayokataza kuuzwa nchini kwenye bidhaa hiyo. Akitoa Taarifa kwa vyombo vya habari kuhusiana na kusitisha matumizi na kuiondosha sokoni bidhaa hiyo huko ofisini kwake…