Admin

Simba yaipiga Azam, Fei akosa penalti

WEKUNDU wa Msimbazi, Simba SC wameendeleza moto wao wakiwa chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mgunda kufuatia kuibuka na ushindi wa tatu mfululizo katika mchezo wa vita ya nafasi dhidi ya Azam ambapo imeshinda kwa mabao 3-0 mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mabao ya Sadio Kanoute dakika ya 63,  Fabrice Ngoma dakika ya…

Read More

Ibenge afunguka dili la kutua Simba, naachaje…!

Kocha Mkuu wa Al Hilal ya Sudan, Florent Ibenge amesema itakuwa ni heshima kwake endapo atapata nafasi ya kuinoa timu mojawapo za Ligi Kuu Tanzania haswa Simba yenye nafasi ya kuwania mataji na kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika. Baada ya uwepo wa tetesi za Simba kuhitaji huduma yake ili kuziba pengo la aliyekuwa kocha wa…

Read More

WAUGUZI WATAKIWA KULA KIAPO CHA KUTOA HUDUMA BORA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka wauguzi kula kiapo cha utoaji wa huduma bora. Waziri Mchengerwa ameyasema hayo jijini Tanga wakati wa kufungua Kongamano la kisayansi na Mkutano Mkuu wa 51 wa Chama Cha Wauguzi Tanzania. Amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshamaliza…

Read More

Saa 72 za moto Chadema, kauli ya Lissu…

Dar/mikoani. Hatima ya nani atateuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwania nafasi za uenyekiti wa kanda, itajulikana baada ya Kamati Kuu kujifungia kwa siku tatu kuanzia kesho Jumamosi hadi Jumatatu. Pamoja na wateule hao kujulikana, baada ya kikao hicho, msimamo wa chama hicho kuhusu kauli ya Makamu Mwenyekiti wake Bara, Tundu Lissu juu…

Read More

Yanga yafuata kipa jeshini, ni mrithi wa Metacha

MOJA ya eneo ambalo Yanga itaingiza ingizo jipya msimu ujao ni katika nafasi ya kipa na hesabu zao zimeenda kwa kipa namba moja wa timu ya Jeshi la Magereza, Tanzania Prisons. Mabosi wa Yanga wanajipanga kuvamia katika klabu hiyo yenye maskani yake mkoani Mbeya ikimfuata kipa namba moja wa kikosi hicho, Yona Amos ambaye msimu…

Read More

RAIS SAMIA AZINDUA KIWANDA CHA KUUNGANISHA MALORI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi pamoja na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Profesa Kitila Mkumbo mara baada ya kuzindua Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es…

Read More