Kesi ya meno ya tembo: Mke afungwa miaka 20, kulipa faini ya Sh22 bilioni
Dar es Salaam. Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, usemi huu unaweza kutumika kuelezea harakati za Leonida Kabi kujinasua na kifungo cha miaka 20 na faini ya Sh22 bilioni kwa makosa ya ujangili kufika mwisho katika milango ya Mahakama. Juni 27,2012, Leonida na mumewe Peter Kabi waliokuwa wakiishi Kimara Stop Over Jijini Dar es…