Serikali yapunguza kodi ya makampuni kwa 20%
SERIKALI imepunguza kodi ya makampuni kwa asilimia 20, kutoka asilimia 30 hadi 10, kwa kipindi cha miaka mitano ya mwanzo, lengo likiwa ni kuchochea uwekezaji katika sekta ya viwanda. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Hayo yamesemwa leo tarehe 9 Mei 2024 na Rais Samia Suluhu Hassan, akizindua kiwanda cha kuunganisha malori na matipa cha…