Mashambulizi ya Urusi yauwa wawili Nikopol – DW – 09.05.2024
Ukraine imetoa taarifa ya vifo vya watu wawili baada ya mashambulizi ya Urusi mjini Nikopol na kuongeza kuwa, ilifanikiwa kudungua ndege 17 zisizo na rubani kati ya 20 zilizoelekezwa kwenye eneo hilo. Soma zaidi: Jeshi la Ukraine ladunguwa droni 13 Mji huo umekuwa ukishambuliwa mara kwa mara na vikosi vya Urusi vilivyojipanga kando ya mto Dnipro …