Admin

Idris azidi kung’ara Netflix – Millard Ayo

Mchekeshaji Mwigizaji super star, Idris Sultan ameipa heshima tasnia ya Filamu Tanzania akiwa nchini Afrika Kusini ambako alikua kwenye mualiko maalumu kutoka Platform ya Netflix kwa ajili ya msimu mpya wa tamthiliya ya Bridgerton ambayo ameshiriki ndani yake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Idriss Sultan alipost baadhi ya picha na video akiwa na mastaa mbalimabli…

Read More

Bashiru Ally aivaa serikali kukalia vibali vya wahadhiri

MBUNGE wa kuteuliwa, Dk. Bashiru Ally amesema vikwazo vinavyoendekezwa na tume ya utumishi wa umma katika kuidhinisha vibali vya wahadhari kupanda vyeo, vikwamisha vyuo vikuu nchini kuwa vya kimataifa. Pia ameitaka serikali ipeleke marekebisho ya sheria ya utumishi wa umma bungeni kwani inagusa maeneo ya usimamizi wa rasilimali katika taasisi nyeti na za kimkakati kama…

Read More

CCM Morogoro wamjibu Lissu – Mtanzania

*Wasema hoja zake hazina mshiko Na Ashura Kazinja, Morogoro Katibu wa Siasa, Uenazi na Mafunzo Mkoa wa Morogoro, Zangina Shanang amejibu hoja tano zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu na wenzake katika mkutano wa hadhara uliofanyika Aprili 30, mwaka huu mkoani Morogoro na kusema kuwa hoja hizo ni za upotoshaji. Katibu wa Siasa…

Read More

Walimu 12,000 kuajiriwa mwaka huu wa fedha

Dodoma. Wakati Tanzania ikiwa na upungufu wa walimu 271,025 kuanzia ngazi ya awali, msingi hadi sekondari kwa mujibu wa Tamisemi, Serikali imesema katika mwaka wa fedha 2023/24 itaajiri  walimu 12,000 ambao watapangiwa vituo vya kazi katika maeneo yenye upungufu. Naibu Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi),…

Read More

Yanga kikitoka chuma, kinashuka chuma zaidi

Yanga wana msemo wao mmoja maridadi sana ‘Daima Mbele Nyuma Mwiko’, yaani hawana nafasi ya kujuta na wako tayari kuchukua maamuzi yoyote magumu na baada ya hapo hawaangalii nyuma. Msemo wao huu kuna namna umekuwa ukiwaheshimisha katika misimamo yao katika mambo mbalimbali ndani ya klabu yao na kama hujajua wanamaanisha nini, cheki haya mambo sita…

Read More

SERIKALI YAAINISHA MPANGO WA KUSAIDIA WACHIMBAJI WADOGO NCHINI

Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde ameainisha mpango wa serikali wa kusaidia utatuzi wa changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo nchini. Mh Mavunde ameyasema hayo leo wakati akijibi swali la Mh Dkt. Christine Gabriel Ishengoma Mbunge wa Viti Maalum aliyetaka kujua mpango wa serikali kuwasaidia Wachimbaji Wadogo wa Madini Wilaya ya Ulanga. Akijibu awali hilo Waziri Mavunde…

Read More