Mashujaa yalipa kisasi, yaandika rekodi
MASHUJAA FC wamefanikiwa kulipa kisasi mbele ya KMC FC baada ya leo kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma. Mchezo huo wa mzunguko wa pili, Mashujaa FC imetakata nyumbani kupitia mabao ya Jeremanus Josephat dakika 12, Hassan Cheda (dk 22) na Reliants Lusajo…