Lawi rasmi ni Mnyama | Mwanaspoti
DILI LIMEKAMILIKA: Ndivyo ilivyo baada ya klabu ya Simba kumsajili beki wa kati wa Coastal Union, Lameck Lawi kwa mkataba wa miaka miwili kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu ujao. Lawi ambaye anamudu kucheza beki wa kati ataungana na Che Malone kucheza eneo hilo baada ya Henock Inonga na Keneddy Juma kutajwa kuondoka ndani…