Mastaa Azam wawekewa milioni 300 waigomee Simba
AZAM FC hawatanii buana! hivyo ndio unaweza kusema baada ya uongozi wa timu hiyo kuamua kutoa motosha wa mastaa wao kupambana kumaliza nafasi ya pili kwa ahadi ya kuwapa zawadi ya fedha Sh300 milioni inayotolewa kwa mshindi wa pili wa Ligi Kuu Bara. Ahadi hiyo imetolewa ikiwa ni siku moja kabla ya timu hizo mbili…