Admin

Shekilango alivyofariki katikati ya misheni maalumu Uganda

Dar es Saalam. Miaka 44 imetimia tangu kufariki kwa kiongozi Mtanzania, Hussein Shekilango ambaye barabara maarufu ya Shekilango ilipewa jina hilo kwa heshima yake. Ilikuwa Jumapili ya Mei 11, 1980, Tanzania ilipompoteza waziri wake, Shekilango katika ajali ya ndege iliyotokea Arusha. Shekilango alikuwa Meneja Mkuu wa Shirika la Usagishaji la Taifa (NMC) kabla ya kuchaguliwa…

Read More

RC MAKONDA TAYARI KUWAFUTA MACHOZI WAKAZI WA ARUSHA.

Hakuna hadithi nyingine zaidi ya Wewe kupata haki yako, Muhimu Njoo na Nyaraka zako zote na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda yupo tayari kukuhudumia na kupambana kwaajili yako dhidi ya wanaozuia haki yako kwa muda mrefu. Mkuu wa Mkoa Mhe. Paul Christian Makonda anakualika na kukusihi usiwe mnyonge kwasababu haki yao…

Read More

Asilimia 12 ya Watanzania wana maradhi ya pumu

Dar es Salaam. Zaidi ya Watanzania 7,200,000, sawa na asilimia 12, wanaugua ugonjwa wa pumu unaoathiri mfumo wa upumuaji, huku wengi wao wakiwa ni watoto walio chini ya umri wa miaka 16, Wizara ya Afya imebainisha. Pumu unakuwa ugonjwa wa pili kuwaathiri zaidi Watanzania baada ya shinikizo la juu la damu linaloathiri asilimia 26 ya…

Read More

WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZA NA BALOZI WA SWITZERLAND NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba (Mb.) amekutana na kuzungumza na Balozi wa Switzerland nchini Mhe. Didier Chassot leo tarehe 7 Mei 2024 katika Ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es Salaam. Katika Mazungumzo yao viongozi hao wamejadili namna kukuza na kuimarisha ushirikiano katikaSekta ya ulinzi na usalama…

Read More