Shungu: Beki mpya Yanga ni mtu na nusu
WAKATI Yanga ikibakiza hatua chache kumalizana na beki wa kushoto wa FC Lupopo, Chadrack Boka, Raul Shungu amewaambia ; “Ni bonge ya beki.” Kocha huyo ambaye amewahi kuifundisha Yanga kwa mafanikio miaka ya tisini, ameliambia Mwanaspoti kwa njia ya simu kuwa, Boka ni beki wa maana na kama Yanga itamnasa itakuwa imezipiga bao timu nyingi…