Mibuyu hii sasa inang’oka Msimbazi
WAKATI Simba ikiendelea kupiga hesabu za kumaliza msimu na kuanza usajili mkubwa ikiwemo kumshusha kocha mkuu mpya baada ya Abdelhack Benchikha kuondoka, kuna mibuyu itang’oka punde na mingine itajivunja. Hali hiyo inatokea wakati Simba ikikabiliwa na kibarua cha kushinda mechi nane za ligi kuanzia ile ya Ijumaa iliyopita dhidi ya Mtibwa Sugar ili kuwania nafasi…