WANAFUNZI 40 WATAKAOPATA UFAULU WA JUU MASOMO YA SAYANSI KUPATA UFADHILI CHUO KIKUU DAR
Na Gideon Gregory, Dodoma. Ili kuwezesha na kuimarisha huduma ya utoaji na upatikanaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu wenye sifa na uhitaji, Serikali itatoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi 40 wenye ufaulu wa juu kwenye masomo ya sayansi hususani wanafunzi wa kike waliohitimu Mtihani wa Taifa ya Kidato cha Sita na shahada…