Prof. Mbarawa aanika mafanikio ya TMA
SHUGHULI za Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), zimeimarika katika mwaka wa fedha wa 2023/24, baada ya Serikali kuendelea kufanya uboreshaji wa utendaji wake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Hayo yamebainishwa leo tarehe 6 Mei 2024 bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, akiwasilisha utekelezaji wa bajeti ya…