Mafuriko, maporomoko ya udongo yaua 78 Brazil
Rio de Janeiro. Unaweza kusema mafuriko yameendelea kuwa mwiba maeneo mbalimbali ulimwenguni. Hii ni kutokana na kusababisha vifo, majeruhi na uharibifu wa mali pamoja na miundombinu. Mbali na Tanzania, Kenya, na Falme za Kiarabu ambapo yameripotiwa kusababisha madhara makubwa pia vyombo mbalimbali vya habari vimeripoti vifo vya watu takribani 100 katika jimbo la kusini la…