Mvua yasababisha watu 400 kukosa makazi Ifakara
Morogoro. Mvua kubwa iliyonyesha mfululizo kwa zaidi ya saa 72 katika mji wa Ifakara wilayani Kilombero imesababisha mafuriko ambapo watu zaidi 400 wamekosa makazi baada ya nyumba zao kujaa maji na nyingine kubomoka. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Mei 5, 2024, Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Danstan Kyobya amesema mafuriko hayo yamesababishwa na kujaa kwa…